3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(500,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐จ๐๐
APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= ร 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA DINING KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/= ร 6.NAKUENDELEA
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI 700 AU BODABODA 1000 UNAWEZA KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA KUMI
HII NYUMBA IPO MAZINGIRA MAZURI SANA NA USALAMA UPO WA KUTOSHA
๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐๐ถ๐ฐ๐ฒ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ ๐ป๐ถ ๐๐ต๐ถ๐น๐ถ๐ป๐ด๐ถ 15,000
๐ ๐ฎ๐น๐ถ๐ฝ๐ผ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐น๐ฎ๐น๐ถ ๐ป๐ถ ๐บ๐๐ฒ๐๐ถ ๐บ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ
๐๐ผ๐ป๐๐ฎ๐ฐ๐:
0654101710
0787205300