3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
PIGA SIMU
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KODI 300,000X3
NI VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA NDANI PUBLIC TOILET
NYUMBA IPO BARABARA YA ZEGE HADI KWENYE NYUMBA
IPO NDANI YA FENSI NA NDANI MPO WAWIL TU PARKING SPACE KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI YAKO PIA YANA FLOW NDANI
NA TANKI LA LIZEVU
NDUGU MTEJA MPANGAJI NDIO ANAHAMA SASA IVI
WAHI CHAPU BILA KUCHELEWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0742260844
0657384670