3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637

Danny_dalaly
danny_dalali_wa_vyumba_kimara
Danny_dalaly

Similar items by location

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 140,000

APARTMENT MPYAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA FURSA LOCATION: KIMARA MWISHO KODI 140,0...

Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 12,000,000

BEI MILIONI 12MAONGEZI YAPO =====KIWANJA KINAUZWA KIPO KIMARA TEMBONI =====UMBALI WA KUTOKA BARABARA...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 70,000

70,000 MALIPO MIEZI X 6LOCATION KIMARA KOROGWE ๐Ÿ‘‰ KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500 UKISHU...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 140,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #CHUMBA NA SEBULE VIZURI#CHOO NA BAFU MNATUMI...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI. VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MAS...

3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

NYUMBA KALI SANA INA UZWA KIMARA TEMBONI ------SQMT 1200-------SERVICE CHARGE 50,000/=BEI MILIONI 25...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT ZINA 3 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK15 KUTOKA LAMI BODA BUKU-----...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

Apartment Ya Kisasa InapangishwaMahali: Kimara MwishoBei: 400,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6Km1 Kutoka...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

(600,0000X6)KIMARA MWISHO 1.5KMโž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA M...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000X6)KIMARA MWISHOโž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–INAPANGISHWAโž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–MAHALI:KIMARA MWISHO 1.8KM KUTOKA MOROGORO R...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000 ร— 6) ๐—ž๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐— ๐—ช๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ขNYUMBA NZURI SANA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ==================...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KAMA ULIKOSA NYUMBA SIKU ZOTE YA BEI HII NA SIFA HIZI PIGA SIMU SASA ASUBUI NA MAPEMAAA AMKA NAYOON...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KAMA ULIKOSA NYUMBA SIKU ZOTE YA BEI HII NA SIFA HIZI PIGA SIMU SASA ASUBUI NA MAPEMAAA AMKA NAYOON...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA KODI 150,000X6 LOCATION:KIMARA TEMBONI AUUN...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA KODI 150,000X6 LOCATION:KIMARA TEMBONI AUUN...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM, SE...