3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🏠APARTMENT MPYAA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWE ZINAPANGISHWA
HIZI KWAAJILI YA MATUMIZI YA OFFICE AU MAKAZI YA KAWAIDA
ZIPO JIRANI NA BARABARA KABISA NI DAKIKA 6-7 KWA MGUU
LOCATION: KIMARA SUKA
💰KODI 1,000,000X6
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
NA KILA CHUMBA KINA MAKABATI YA NGUO
NA MAFENI JUU
KWENYE COMPOUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU
YA JUU NA YA CHINI
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
NA GARDEN SAFI MAZINGILA MAZURI MNOO YA KISHUA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
#0625606710