3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA.  KABISA
APARTMENT NZURI  ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6 
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA NI  MASTER BEDROOM 
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET 
#PARKING  NA PEVA ZINAWEKWA 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
BEI NI 600,000/= X 6 
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI  300,000
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12  NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
O677370515




















