3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 4
MAFUNDI WAPO SITE MASAA 24 KUENDELEA NA UKARABATI WA NYUMBA IRUDI KUA MPYA KABISA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 400,000/= X 4,5...NAKUENDELEA
đź’«đź’« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
đź’Ą MAFUNDI WAPO SITE WANAENDELEA NA UKARABATI WA NYUMBA HII KWA KASI YA 5G
Simu 0757 404087