3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(700,000X6)KIMARA BARUTI DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
——
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 7 TOKA STAND
BEI NI 700,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 3 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
ZIPO MBILI COMPOUND MOJA
NOTE
HAPA INAMALIZIWA FINISHING
0716223412
0618976024



















