3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 3
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 13/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
BEI NI 450,000/= X 3,4,5....
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
ππ ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 13/11/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37