3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA AMBAZO ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
# SEBULE KUBWA SANA
# DINNING
# JIKO KUBWA
# PUBLIC TOILET
# MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
# PARKING
BEI NI 400,000/= X 6
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA URABATI WA KUPAKA RANGI NA VITU VINGINE
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.7 NA USAFIRI NI BODABODA HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
O627977383