3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA MOJA YA CHINI INAKUWA WAZI TAREHE 30/07/2024 KUBWA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA DK 3 TU KUTOKA BARABARANI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#STORE
#DAINING TABLE
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YAPO NDANI
#FULL ICE
#HITER ZA MAJI MOTO NA BARIDI
#ELECTRICK FANCE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 750,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA (LAKISABA NA ELFU HAMSINI KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA)
Service charge elfu 15 . Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087