3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 400,000

OFA 💥💥 OFA 💥💥OFA

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 4O0,000/= X 4

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING

BEI NI 400,000/= X 4,5....

BAADA YA HII MIEZI 4 KUISHA BEI ITARUDI LAKI 4 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YATAKUA NI YA MIEZI 3

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.7 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

#0785889413
__

__
PIHA SIMU

dalali_bonge_kimara_Dar
dalali_bonge_kimara_dar
dalali_bonge_kimara_Dar

Similar items by location

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM.5 KUTOKA LAMI -------Vyumba 3 vya kulala kimoja master...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA SUKA KM1 KUTOKA LAMI ----...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢KODI 250K HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPOUND MOJA KATI ...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

OFA 💥💥 OFA 💥💥OFAAPARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 4O0,000/= X 4🌟 APARTMENT HII INA ...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

——300,000 x6. Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba Itakuwa wazi 6/1/2025/=======...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 4 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/12/2024 KU...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NEW NEW APARTMENT INAPANGISHWA WAHI MTEJA #300K#SEBULE KUBWA#CHUMBA MASTER #JIKO ZURI LENYE KABATI#L...