3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 500,000/= X 6 BEI LAKI TANO KODI MIEZI 6 NA BONDI YA MWENZI MMOJA
๐๏ธ APARTMENT NZURI YA KISASA UPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
ITAKUWA WAZI TAREHE 31 MWENZI HUU KUONA KULIPIA RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPOO
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI