3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿⛺⛺APARTMENT CLASSIC FOR RENT _500,000X6_3 BEDROOM _1MASTER SEBLE DRAINING JIKO PUBLIC TOILET ⛺ APART HII IPO _KIMARA STOP OVER DK 15 TUY UKO MWENDOKAS
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN NZURI
#PARKING KUBWA
#ULINZI MASAA 24
💥 NYUMBA HII KWENYE FENSI IPO NA APARTMENT NYINGINE KWA NYUMA ILA HII IPO KWA MBELE KABISA NA ZIPO MBALI MBALI NA APARTMENT ZA NYUMA
BEI NI 500,000/= X 6
🏘️ NYUMBA HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
📱+255679897628/WSP🇹🇿