3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam


🏠 APARTMENT MPYA (KARIBU KUKAMILIKA) INAPANGISHWA – MADALE | TSH 1,000,000
Fursa ya kupanga kwenye apartment mpya, iko hatua za mwisho kukamilika!
📍 Mahali: Madale
🛏 Muundo wa Nyumba:
Vyumba 3 vyote Master
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
✅ LUKU yako binafsi
✅ Maji – mita yako binafsi
✅ Mazingira safi na tulivu
💰 Kodi: TSh 1,000,000 kwa mwezi
🗓 Malipo: Kuanzia miezi 6
⚡ Kuona nyumba: TSh 30,000
📞 Wasiliana: #0689138795whatsapp
#0758998074👈
#ApartmentMadale #NyumbaInapangishwa #VyumbaVitatu #RealEstateTZ #MakaziMazuri