3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 6 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 350,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 3 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA DINNING
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
CHOO KIZURI CHA FAMILIA NJE
PIA KUNA JIKO KUBWA LA NJE
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING YA WASTANI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347