3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







300,000 x4 0679 956 863 WSP 0781 418 437 pg ♥️
APARTMENT NZURI NA YA KISASA INAPANGISHWA
ZIPO 3 KWENYE FENSI MOJA
Bei:300,000/ Per Month
Payment Terms: 4 Months in Advance
Au ..250,000x6 kamili✍️
____________________________________
📍Malipo ya Dalali ni ya Mwezi 1
📍Service Change:20,000
📍LOCATION: ST.JOSEPH,Upande wa kushoto ukiwa unaenda mkoa -TANZANIA
📍DISTANCE- 2km kutoka Main Road
Pikipiki 1500
➡️PROPERTIES OF THE HOUSE 🏠
__________________________________
📍Vyumba 3 Vya kulala
📍1 Master bedroom
📍 Dinning table
📍Sebule
📍Jiko Safi na kuubwa
📍Kuhusu feni tutaongea nae afunge ukilipa miezi 6
📍Public toilet
📍Peving blocks
➡️ITS SERVICES
________________
📍Maji dawasco 24hrs
📍Reserve water tank
📍Umeme unajitegemea
➡️ Apartment hizi zipo katika mazingira Tulivu Usalama wa uwakika
Kwa Mawasiliano Zaidi
Call 0679 956 863
0781 418 437
0759151524