3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 3
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/03/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 400,000/= X 3
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343