3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







[21/02, 09:59] +255 743 437 382: Apartments zinapangishwa mbezi Kibamba ni dk 10 kwa miguu ukitoka bara bara ya morogoro road,Ndani ya eneno kuna floor 3 na katika kila floor kuna nyumba 2, moja 3bedroom ya ukubwa wa 140sqm na nyingin3 2bedroom ukubwa wa 119sqm
3bedroom 140sqm iko na living room, dining, kitchen, Ac na ceiling fan 2 toilets na store room kuanzia floor ya 1 na ya 2 inakuwa na balcony
2bedrooms 119sqm iko na 2 toilets, living room, dining, kitchen with the store room, Ac, ceiling Fans na balcony on upper floor
[21/02, 10:03] +255 743 437 382: Kodi : 2-bedroom; 600k
3-bedroom; 700k
Malipo; miezi 6-4
Viewing Fee: 20k
Commission: 1 month Payment
Non-negotiable
SIMU
0712656027