3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
450K X5
LOCATION MBEZI πKWA MSUGURI
DISTANCE KM 1
USAFIRI BODA BUKU
KUTEMBEA DK 10
SIFA ZA NYUMBA..
π₯VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA WAPO NI MASTER..KUBWA YENYE KABATI LA NGUO
π₯SEBULE KUBWA NA DINNING
PUBLIC TOILET YA NDANI
π₯JIKO ZURI LENYE MAKABATI
π₯JIKO LA NJE
CHOO CHA NJE NA
BAFU
UMEME /MAJI INAJITEGEMEA
ZIPO NYUMBA 3 KILA 1 IPO KWENYE FENCE YAKE
ILA GETI LA KUTOKEA NI MOJA
KODI NI LAKI NNE NA NUSU KWA MWEZI..ILIPWE KODI YA KUANZIA MIEZI MITANO.
BARABARA NI NZR KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
SERVICES 20K
MALIPO YA DALALI 450 UKILIPIA NYUMBA.
CALL
0679997610
0658884015
Msigwa