3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 TOFAUTI ZINAPANGISHWA ZIPO MBEZI MWISHO NJIA IENDAYO GOBA UMBALI WA DK 2 KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI.
----------------------
TUMESHUSHA MIEZI NJOO SASA ULIPIE MIEZI SITA TU.
[ 1 ] Vyumba 3 vya kulala kimoja master, sebule ,Dining room Public toilet, jiko na stone.
KODI LAKI 600,000 /=KWA MWEZI
--------
[ 2 ] Vyumba 2 vya kulala, kimoja master,Sebule ,public toilet na jiko.
KODI NI LAKI 500,000 /= KWA MWEZI.
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
--------------
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI DAWASA ,TAILS GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM, FULL PEVING BLOCK PARKING SPACE KUBWA.
IMESHUKA MIEZI KWA SASA NI MIEZI SITA TU NA MALIPO MIEZI SITA HAIPUNGUI
-------
CONT
0683234124
0752978231