3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach( Jogoo) , Dar-Es-Salaam, Tanzania
Ina :
๐ธ๏ธ Vyumba Vitatu Vya Kulala ( Kimoja Masta)
๐ธ๏ธ Sebule
๐ธ๏ธ Jiko la Kisasa lenye Makabati
๐ธ๏ธ Choo cha Public
๐ธ๏ธ Parking Space
Ziko 2 Kwenye Fensi,
Nyumba ya Tatu kutoka lami
Bei : 1,500,000 Tsh Kwa Mwezi
0743688011