3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
๐APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
๐VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
๐SEBULE KUBWA SANA
๐JIKO KUBWA
๐PUBLIC TOILET
๐PARKING
๐LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/= X 6
๐APARTMENT HII IPO KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679447338
0753454167