3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 400,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI ZOTE NJIA UNAFIKA KWENYE NYUMBA
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA HII NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
---------------------
Coll and Whatsap
0788410350 / 0766825473