3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI KABISA ZINAPANGISHWA HII SIYO YA KUACHA KABISA WATEJA ZANGUU
(ZIPO MBILI KWENYE COMPOUND MOJA)
LOCATION:MBEZI MSAKUZI KWA RUBABA(BARNEY)
PIKIPIKI:1000
KODI:300,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA
🥕VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
🥕SEBURE KUBWA
🥕JIKO LENYE MAKABATI
🥕PUBLIC TOILET
🥕FENI
🥕ELECTRIC FENCE
🥕FENCE
🥕PAVING BLOCK
🥕PARKING KUBWA
🥕UMEME NA MAJI WA KUJITEGEMEA
KWA MAWASILIANO ZAIDI
#0785889413🔥🔥