3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA
BEI NI 500,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO #MBEZI_KWA_MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343