3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA NA ZIPO MBALI MBALI
BEI NI 250,000/= X 6
๐ซ๐ซ NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 58 37