3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mlimani, Morogoro


Apartment ya kisasa iyoo
@
Inapangishwa
@
Bei laki 9
&
Ipo kwenye get
&
Kwenye get zipo nyumba 4
&
Kila moja inajitegemea umeme na maji
&
Kodi ya miez 6 na dalali 7
@
Ni vyumba 3 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Ipo maeneo ya mlimani cty
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687