3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA
TABATA KINYEREZI STEND.
APARTMENTS ZIPO 3#
BEI SH 400,000×3
MALIPO YA DALALI NI MWEZI 1.
SERVICE CHARGE SH 20,000/.
LOCATION: TABATA KINYEREZI STEND.
DK 3, kutoka stend Kwa miguu.
APARTMENTS ZIPO 3#
NDANI YA FENCE.
MIEZI 3 ANAPOKEA.
VYUMBA 3 VYA KULALA
MASTER 1
SEBLE KUBWA SAFI
DINNING ROOM
JIKO NDANI LA MAKABATI
PUBLIC TOILET INSIDE
MAFENI JUU
UMEME NA MAJI
UNAJITEGEMEA
DAWASCO WATER 24/7
RESERVE TANK
PARKING KUBWA
PAVING BLOCK
USALAMA💯
MAZINGIRA TULIVU.
MAWASILIANO: WHATSAPP No,
0766:650248
CALLS:
0654154140/Whatsapp/call
0624:808238/call