3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







MAFUNDI WAPO KAZIN KWA KASI YA 5G
NI APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA
NI IYO YA JUU
KODI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI NANE (8)
NYUMBA IPO TABATA KISUKURU MAJI CHUMVI HII BRBR YA KUJA KWA MKUA
UMBALI WA DK 3 TU KUTOKA BRBR YA LAMI
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
NYUMBA HII IPO TAYARI KUINGIA KWA SASA ISHAPIGWA RANGI UKARABATI WA VYOO VIPYA NK: PICHA HIZI NIZAMWANZO KABLA YA MAREKEBISHO NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347