3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO MAKOKA SHULE
Umbali wa Kutembea wa Mguu Dakika 3 Kutoka Kwenye Barabara ya Lami ya Riverside - Makoka...
Usafiri Kutoka Riverside Bajaj 700 Pia Unaweza Kupita Korogwe Bajaj pia 700
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Dining
โข Vyumba VITATU Vya Kulala na Kimoja Wapo MASTER
โข Jiko Kubwa
โข Public Toilet ya Wagenii
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi ya Waya na Geti, Parking ipo Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 400,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp