3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


MABADILIKO YA BEI KUFUATANA NA MAREKEBISHO MAKUBWA MWENYENYUMBA ANAYOYAFANYA KODI NI 350X6 INAPIGWA RANGI NDAN NA NJE
NI APARTMENT NZUR KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA
.
.
LOCATION: UBUNGO KIBO UMBALI WA DK 5 TU KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
SIFA ZA NYUMBA
#############
VYUMBA VITATU VIKUBWA KIMOJA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
DINING KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET
TILLES
GYPSUM
DRISHA SHATA
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDAN
NDAN YA FENS
AINA PARKING
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
WAPO WAPANGAJI WAWILI TU KWENYE FENSI
.
WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
.
NI DK 5 UPO NYUMBAN KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS HAPA UBUNGO KIBO
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0655256419