3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO EXTERNAL JESHINI
#๐ฟ๐๐จ๐ฉ๐๐ฃ๐๐: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 5 kutoka Kwenye BARABARA YA JESHINI
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Dining
โข Vyumba VITATU vya Kulala na Kimoja Wapo Master
โข Jiko Kubwa
โข Public Toilet nzuri ndani
โข Reserve Tank (DAWASA)
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Gari Linafika ila Parking Haipo na kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita ya MAJI Dawasa
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 400,000 Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp