3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent zipo 2 tuu Kwenye fancy Moja
Location Ubungo Riverside Dakika 6 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road
Kodi 400000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 3 za Kulala hakuna Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Jiko Kubwa
Public toilet
Bafu
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Tiles
Gypsum board
Garden nzuri
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565