3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ukumbi, Iringa


NYUMBA MPYA ZA GHOROFANI (FLAT/APARTMENTS) ZINAUZWA UPANGA
-Zina vyumba vitatu (3) vya kulala kimoja kinachojitoshereza ( Master bedroom) vyoo viwili, ukumbi na mahala pa kula,
nyumba za kisasa -zina mvoto wa ndani na nje.
Jengo lina lift, genereta, na ulinzi 24/7,
-Zinafaa kwa matumizi ya makaazi na biashara(Ukiipangisha unalipwa kodi Tsh 2,500,000 kwa mwezi)
-Bei TZS 518milioni.
(Unaweza kulipia kidogo kidogo kwa miaka miwili)
-Hii si ya kukosa
ipo katika PRIME LOCATION ya Upanga.
Kuziona tuwasiliane