3 Bedrooms House/Apartment for sale at Buza, Dar Es Salaam


Nyumba apartment zipo Tano zote kwa pamoja zinauzwa
Nyumba zipo ndani ya fensi zote Tano
Nyumba zipo buza kiyombo kinyantila shule ya msingi kiyombo
Bei Tsh milion 150 mazungumzo yapo
Ukubwa wa Eneo sqm 1200
Umiliki: Hati leseni ya makazi
Nyumba moja ina vyumba 3 vya kulala, sebule ,jiko, dinning room,chumba kimoja master ,public toilet.
Nyumba Zilizobaki zote ni za vyumba 2 vya kulala,sebule, jiko, chumba kimoja master, public toilet.
Wapangaji wapo full nyumba zote
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30,000/=
0746 433 854














