3 Bedrooms House/Apartment for sale at Kijitonyama, Dar Es Salaam


*Plot kwa ajili ya Ujenzi wa Apartment/Hotel inauzwa Kijitonyama*
*Distance* Kutoka main road mpaka kwenye Kiwanja ni 400 Meters
-Eneo lina nyumba 3 za kuishi, Kubwa 3 bedrooms, ndogo Ina 2 bedrooms na mwisho Ina 3 bedrooms single rooms
*Eneo linafaa kwa ujenzi wa Hotel, Apartment au Makazi binafsi*
-Plot size Sqmtrs 1,745
-Document: Title Deed
*Bei shilingi Bilioni 1.2 maongezi yapo*