4 Bedrooms House for Rent at Buswelu, Mwanza


NYUMBA MPYA INAPANGISHWA BUSWELU
-ina vyumba vinne (4) vya kulala ( vitatu ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ina servant quater ya vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo cha nje
-kodi Milioni 1 kwa mwezi
NB:-
Nyumba Moja Ndani Ya Fensi
☎️ 0743220097