4 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
#STAND ALONE FOR RENT
(INAJITEGEMEA INAPANGISHWA).
INAVYUMBA VINNE VYA KULALA VYOTE MASTER
IPO DAR ES SALAAM TANZANIA.
MAHALI _ GOBA NJIA YA MAKONGO.
DK 10 KUTEMBEA KUTOKA LAMI
________________________________
BEI MILLION 1.300,000/= KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6.
___________________
MUUNDO WA NYUMBA,
#vyumba vinne vya kulala vyote selfu
#Sebule & dinning
#jiko lenye kabati
#public toilet juu na chini
#jiko lenye kabati nzr
#car paving block
#maji DAWASA24HRS.
#sevarnt coter IPO na jiko la njee
#sehemu ya kupumzika kwa njee IPO
#mazingira mazuri sana.
Mawasiliano
#0688396025.
Call/ WhatsApp.