4 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE
MAHALI- GOBA CENTRE
KUNA SERVANT CORTER
____________
Vyumba 4 vya kulala 3 ni master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Kuna servant corter
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------------
Service charge 20,000/=
Kodi 2,000,000/=×6
--------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 2
---------------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_viwanja_goba_mbezi