4 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam







STAND ALONE HOUSE Inapangishwa:
Location :: GOBA CENTRE 1.8 KM TOKA LAMI
Bei yake :: 900,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vinne ( vyote ni Masta)
🌡️Sebule kubwa sana
🌡️Jiko kubwa
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Fence
👇👇👇
Inapwaka rangi nje na wanaweka na Paving block
__
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343