4 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA NA NZURI INAPANGISHWA GOBA MAGETI DK 3 KUTOKA LAMI AU GOBA ROAD.
ZIPO NYUMBA MBILI KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI
NA HII NYUMBA KUBWA SANA WAHI NDUG MTEJA
-SEBULE KUBWA
-DINNING KUBWA
-VYUMBA VINNE VYA KULALA VIWILI MASTER
-JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
NA STOO
====
-FULL AC NA MAFENI
-FULL CAMERA/SECURITY ELECTRIC FENSI.
-PEVING BLOCK
KODI NI 700,000/=X6
ILIPWE MIEZI SITA
KUONA NYUMBA. 20,000/
===
DALALI 700,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
NJIA MKEKA KAMA UNA GARI YA CHIN NJOO HAPA.
====
CONT
0683234124
0718367179