4 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
#STAND ALONE HOUSE FOR RENT/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA
=
Vyumba 4 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa dinning jiko kubwa, studying room, public toilet ya ndani na nje ipo , na stoo ya nje ipo
=
Kodi 500,000 Kwa mwezi × 6
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea kila kitu, Umbali KM 1 Tu kutoka Morogoro Road
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
Simu
0679997610
0747997630
Msigwa