4 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIBAMBA #650K
Vyumba 4 vya kulala viwili master bedrooms sebule kubwa dinning kubwa jiko kubwa stoo public toilet
Kodi 650,000 kwa mwezi × 6
Umbali Mita 700 kutoka kituoni bodaboda 1000 kwa mguu dakika 10
Ndani ya fensi parking kubwa mnooo unaweza ukafuga
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
###0655256419