4 Bedrooms House for Rent at Kibaoni, Morogoro


nyumba iyo ni stend alone
&
Inapangishwa
@
Bei laki 8
@
Kodi ya miez 6 na dalali 7 ipo
@
Maeneo ya tegeta A kibaoni
@
Nyumba ipo karibu na lami
@
Inavyumba 4 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja masta
&
Na kuna chumba cha inje kimoja master
&
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano zaid ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687