4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
NYUMBA NZURI KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI NI DK 2 TUU UPO KWENYE NYUMBA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PARKING KUBWA SANA
#GARDEN
BEI NI 500,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168