4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


1,000,000x6.
0759151524
NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI KUBWA INAPANGISHWA BEI NI MILIONI MOJA KWA MWEZI (1,000,000/= X 6 )
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/12/2024
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA LA NDANI NA NJE
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#GARDEN NZURI
#PAVING
#ULINZI WA FENSI KUBWA YA UMEME
KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA MASTER NA JIKO LAKE NZURI
BEI NI 1,000,000/= X 6
💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI 500 AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0759151524
0679 956 863
0679 956 863