4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(600,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐จ๐๐
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
BEI NI 600,000/= ร 6
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA LIMEFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUSOMEA WATOTO
#STORE
#AIR-CONDITION ๐ฉ๐ฌ๐จ๐ ๐๐๐ก๐ ๐ก๐ ๐ฆ๐๐๐จ๐๐๐ก๐
#PARKING KUBWA
BEI NI 600,000/= ร 6 MAONGEZI YAPO
๐ซ๐ซ NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
O677370515