4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 16/07/2024 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 500,000/= X 6
๐น๐ฟ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI AU UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
NJIA ZOTE NI NZURI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Simu 06 59 33 67 51 Wsp 07 86 08 56 37