4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
BANGALOOO KUBWA SANA LINAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE LANAPANGASHWA #BEI 800K
#SEBULE UWANJA
#VYUMBA 4 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA SANA
#DAINING
#STORE
#CHOO NA BAFU VYA WAGENI
#FULL TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#ELECTRICK SECURITY FANCE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#NYUMBA HII INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA MWISHO KLM 1 USAFIRI BODA 1000 MPAKA GETINI
BEI NI 800,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37