4 Bedrooms House for Rent at Mabanda, Tanga


#NYUMBA_KUBWA_INAYOJITEGEMEA_YENYEWE_KWENYE_FENSI INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 DKK 5 KUTOKA KWENYE LAMI
ππ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#FENI JUU
#FULL ALLUMINIUM
#PARKING KUBWA SANA
#GARDEN
#FULL PARVING
#MABANDA YA KUKU
#CHOO CHA NJE CHA WAGENI
#JIKO LA NJE
#MATANK YA MAJI
#GARAGE YA KULAZA GARI MBILI
#BEI NI 500,000/= X 6
πΉπΏπΉπΏ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE IPO
#TABATA_KISUKURU_MAJI_CHUMVI
#NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316 Whatsp
#0769680796 whtsp